Arts in Linguistics Research Papers/Topics

Uchunguzi Li]Nganishi Wa Mvutano Kati Ya Ukale Na Usasa Wa Kitamaduni Uliopo Katika Tamthilia Ya Kwenye Ukingo Wa Tiiim Na Ule Wa Jamii Ya Wachaga Mkoani Mosifi

SHUKRANINamshukuru Mungu muumba wangu kwa maisha niliyonayo pamoja na afya njema aliyonipakatika kipindi nilichokuwa nafanya utafiti wangu na shughuli zote za kukamilisha utafiti huu.Pia namshukuru Bi Mutenyo Aidah, mhadhiri katika idara ya lugha kwa kujitolea mhangakunisimamia na kunisaidia vilevile. Umekuwa mzazi kwangu Mimgu akubariki sana.Ningependa pia kuwashukuru wahadhiri wengine katika idara ya lugha wakiwemo; BwanaWilson Onyeit, Bi Azabo na Bwana Atukunda Edwin.Siwezi kutowashuk...