Linguistics Research Papers/Topics

Ontolojia Ya Kiafrika Katika Mbolezi Za Wanyasa

IKISIRI Tasnifu hii inahusu Ontolojia ya Kiafrika katika Mbolezi za Wanyasa. Utafiti huu ulifanywa uwandani na maktabani ambapo uwandani, data zilikusanywa kwa kutumia mbinu za mahojiano, ushuhudiaji na mjadala wa vikundi. Kwa upande wa maktabani mtafiti alitumia mbinu ya udurusu maktaba.Utafiti uliongozwa na lengo kuu ambalo ni kubaini vipengele vya ontolojia ya Kiafrika katika mbolezi za Wanyasa. Malengo mahususi ambayo ni; kubainisha aina ya mbolezi zinazopatikana katika jamii ya Wanyasa, ...

Assesment Of Ethnic Language Endangerment In Tanzania: The Case Of Safwa Language.

ABSTRACT The disaster of language endangerment is understood by many to be among the most significant concerns confronting humankind today, presenting ethical and logical issues of tremendous extents. A risked language is that in danger of phasing out, or one anticipated stopping to be the methods for human correspondence for a particular society or social gathering. At the point when speakers of a language move to other languages and surrender their own, incredible learning of their way of l...

Sound Variations In A Language And Its Impact In Meaning: The Case Of Kirinchari /ʧ/ And Kisimbiti /Ʃ/

ABSTRACT This study aimed to examine the sound alterations in Kirinchari /ʧ/ and Kisimbiti /ʃ/ as the dialects of Kurya language; the study had three objectives which are: To identify the lexical items (words) with /ʧ/ and /ʃ/ sounds in Kirinchari and Kisimbiti dialects respectively, to investigate the causes of the sound variations in Kirinchari and Kisimbiti dialects as long as the sound variations of /ʧ/ and /ʃ/ are present, to examine the semantic variations resulting from the prese...

Ufasihi Katika Kasida Za Madrasa

IKISIRI Huu ni utafiti uliofanywa juu ya ufasihi katika kasida za madrasa kutoka wilaya ya Mjini Zanzibar kwa mwaka 2013. Tafiti mbalimbali zimefanyika kabla ya utafiti huu, lakini zote hizo zimeelezea maana ya kasida, historia na dhima ya jumla ya kasida ambayo ni kumsi fu mtume Muhammad (s.a.w) mfano Simiyu (2011:89) na Mulokozi 2011:14) 14). Dhana hiyo pia ime elezwa kabla na BAKI ZA (2010:147), Paden (2009), Tuzin (2009) Al Mubarakpuri (2004:310), Ntarangwi (2004:67) na Mulokozi (1996:70 ...

Matumizi Ya Lugha Katika Muziki Wa Kizazi Kipya: Mifano Kutoka Katika Nyimbo Za Mapenzi Za Wasanii Inspekta Haroun Na Mwanafalsafa

IKISIRI Utafiti huu ulichunguza „Matumizi ya Lugha Katika Muziki wa Kizazi Kipya: Mifano Kutoka Katika Nyimbo za Mapenzi za Wasanii Inspekta Haroun na Mwanafalsa‟. Utafiti ulilenga kubainisha lugha inayotumika katika kusawiri vionjo vya mapenzi, katika nyimbo za wasanii teule wa muziki wa kizazi kipya; kuchunguza sababu zilizowafanya wasanii teule kutumia lugha hiyo katika kusawiri vionjo vya kimapenzi katika nyimbo zao; pamoja na kuchunguza athari ambazo hadhira hupata kutokana na matumi...

The Source Of Language Variation Among Chagga People

ABSTRACT This research intended to find out the source of language variation among Chagga people. The study was guided by four specific objectives which are: to investigate the extent to which language variation exists among the Chagga; to examine the areas (aspects) that show / indicate language variation among Chagga people; to find out the source of language variation among the Chagga; and to determine whether Chagga varieties constitute different languages or varieties (dialects) of the s...

Matumizi Ya Sadfa Katika Riwaya Pendwa Ya Kiswahili: Mifano Kutoka Kivuli, Kikosi Cha Kisasi Na Hofu

IKISIRI Tasinifu hii ilijikita katika kujadili matumizi ya sadfa katika riwaya pendwa za Kiswahili. Sadfa ni hali ya utukiaji wa matukio kwa wakati mmoja, aghalabu kwa namna inayoshangaza au inayoashiria bahati (Wamitila, 2003). Utumiaji wa mbinu hii katika kuibua matukio husababisha riwaya, hususani riwaya pendwa, kuonekana kuwa na matukio yasiyokuwa na mantiki katika utokeaji wake. Utafiti huu ulifanyika ili kubainisha athari za matumizi ya sadfa katika riwaya pendwa kwa kuchunguza vijenzi ...

Analysis Of Written Language On Vehicles In Tanzania: A Case Of Daladala Sayings In Mwanza Region

ABSTRACT This study is a result of an investigation done in order to do an analysis of written language on vehicles in Tanzania, particularly daladala sayings in Mwanza region. The force behind conducting this study is different attitudes among people in the society towards car inscriptions/slogan. The study employed descriptive research design where data was collected through observation, interview and Focus Group Discusion (FGD). Informants were obtained through simple random sampling techn...

An Assessment Of Lexical Change In Matengo: The Case Of Mbinga District

ABSTRACT This study aimed at investigating Matengo lexical change in Mbinga district. It was guided by three specific objectives namely: to explore the extent of Matengo lexical change; to examine the linguistic factors for Matengo lexical change and to determine non-linguistic factors contributing to Matengo lexical change in Mbinga district. The study used assimilation theory centring on the ideas of Gordon (1964) as one of the sociologists. Gordon devised the theory into seven stages which...

Matumizi Ya Ujaala Katika Ushairi Wa Kiswahili: Ulinganisho Wa Diwani Za Mathias Mnyampala Na Amri Abedi Kaluta

IKISIRI Utafiti huu unahusu matumizi ya ujaala katika ushairi wa Kiswahili: Ulinganisho wa diwani za Mathias Mnyampala na Amri Abedi Kaluta. Ujaala ni falsafa ambayo hutawala na kuongoza maisha ya binadamu (Ponera, 2014). Falsafa ya ujaala katika ushairi wa Kiswahili haijatafitiwa vya kutosha hivyo, kuwanyima fursa wasomaji na watunzi wa kazi za fasihi na kutoelewa dhana ya ujaala. Hii imemsukuma mtafiti kuchunguza matumizi ya falsafa ya ujaala katika ushairi wa Kiswahili. Kwa kiasi kikubwa, ...

Dhima Ya Taswira Katika Nyimbo Za Muziki Wa Kizazi Kipya: Mifano Kutoka Kwa Nasibu Abdul Na Mrisho Mpoto

IKISIRI Tasinifu hii ni matokeo ya utafiti uliochunguza Dhima ya Taswira katika Nyimbo za Muziki wa Kizazi Kipya: Mifano kutoka kwa Nasibu Abdul (Diamond Platinum) na Mrisho Mpoto (Mjomba). Utafiti huu uliongozwa na malengo matatu mahsusi ambayo ni kubainisha taswira zinazojitokeza katika nyimbo za waimbaji teule, kujadili dhima ya taswira katika nyimbo za waimbaji teule na kutathmini athari za taswira katika nyimbo za waimbaji teule. Nadharia iliyotumika katika utafiti huu ni semiotiki kupit...

Language And Gender Stereotypes In Kiswahili Print Media: Gutter Press And Posters

ABSTRACT The major purpose of this study was to examine language and gender stereotype in Kiswahili print media in Tanzania as portrayed in gutter newspapers and posters. Specifically, the study examines the linguistic features used to portray gender stereotypes in gutter press and posters, causes of language that portray stereotypes and the impacts of the language that portray stereotypes to the readership. The data were collected through documentary review whereby 56 newspapers with 174 hea...

An Assessment Of Power Relations In Teacherstudent Interaction On Classroom Language: A Case Of Ward Secondary Schools In Mbeya City Council

ABSTRACT The study aimed at assessing how teacher-student interaction structures classroom language. The study was carried out in ward secondary schools in Mbeya City Council. The researcher chose Mbeya city council‘s ward secondary schools randomly to represent all wards secondary schools in Mbeya and Tanzania in general because all classroom‘s teaching lessons do share common interactional features under the umbrella of Tanzania Educational National Policy of 1995. The study employed ca...

Athari Za Sayansi Na Teknolojia Katika Hadithi Za Watoto: Mifano Ya Ngano Kutoka Wilaya Ya Micheweni Pemba

IKISIRI Utafiti huu ulikuwa na lengo la kuchunguza hadithi za watoto, kwa kuangalia jinsi hadithi hizo zilivyoathiriwa na maendeleo ya sasa ya sayansi na teknolojia. Hususan, kwa kuchunguza mifano ya hadithi za ngano kutoka Wilaya ya Micheweni Zanzibar. Utafiti ulibaini kwamba, sifa nyingi za Fasihi Simulizi zimebadilika au zimo katika mabadiliko makubwa. Hasa hasa katika kipindi hiki cha kukua na kuimarika kwa sayansi na teknolojia. Ikiwa hivyo ndivyo, basi ni dhahiri kwamba Fasihi Simulizi ...

Korasi Katika Tamthiliya Ya Kiswahili: Mifano Toka Tamthiliya Teule Za Ebrahim Hussein, Emmanuel Mbogo, Na Frowin Nyoni

IKISIRI Utafiti huu ulihusu Korasi katika Tamthiliya ya Kiswahili: Mifano toka Tamthiliya Teule za Ebrahim Hussein, Emmanuel Mbogo, na Frowin Nyoni. Dhana ya korasi imetumiwa ikimaanisha matendo, fikra au maneno ya kisanaa ayatoayo mtu au kikundi cha watu katika kitendo cha kisanaa kwa njia ya uimbaji, uradidi, nathari na kuambatana na vitendo. Matumizi ya mbinu hii ya korasi hayajatafitiwa wala kuhakikiwa vya kutosha katika Fasihi ya Kiswahili. Hali hii inakifanya kipengele hiki kutojulikana...


61 - 75 Of 139 Results