Research Papers/Topics in African Studies

Migration and Transnationalism in Teju Cole's Open City

The novel, titled Open City, is a metaphor which the author uses to allude to migration and globalization. It is also an obvious reference to the declaration of Brussels as an open city during World War 1. Cole examines multiple themes related to transnationalism as his protagonist, a Nigerian American doctor wanders about in New York in an attempt to track migrating birds, examines the numerous relationships he has had with other immigrants like himself. Julius is an embodiment of th...

FATA's MERGER WITH KHYBER PAKHTUNKHWA: IMPACT ON SECURITY OF PAK-AFGHAN REGION

AbstractThis research focuses on securitization in the tribal areas that traced back to the British arrival in the region. Both the British and Pakistan treated the tribal belt with imperial and national security consideration. The British perceived it the center of gravity against the Czarist Russia for India’s survival and security during the nineteenth century Great Game and afterward. Pakistan after independence continued the region with the same colonial pattern against Afgha...

Aesthetic Analysis of Folklore in Emmanuel Asika's Erimma

Abstract Folklore or oral tradition is found to be a favourite indigenous resource for African playwrights and they draw on it to enable them mold the aesthetic concerns in drama/play writing. Considerable critical interest has grown around analyzing the nuances of folklore, society and drama in the context of Africa. Critics like Obiechina confirm that folklore has survived in Africa in spite of the introduction of ‘writing’ as a phenomenon and the foreign tradition which it bea...

Chimbuko La Dhikiri: Mabadiliko Na Athari Zake Kwa Jamii Ya Wazanzibari

SHUKRANI Kazi hii imekamilika kutokana na michango ya watu mbalimbali walioshirikiana nami kuona inafanyika kama ilivyopangwa. Sina budi kutoa shukrani zangu za dhati kwa watu wote walionisaidia katika kufanikisha utafiti huu. Kwanza, kabisa napenda kumshukuru Mungu kwa kunipa uhai, uzima na afya njema hata nikaweza kufanikisha kazi hii bila matatizo yoyote yale ya kiafya. Pia alinipa akili na ufahamu wa kufanikisha kazi hii na kufikia tamati. Pili, namshukuru msimamizi wangu, Dkt Muha...

Matumizi Ya Falsafa Ya Usihiri Katika Riwaya Teule Za Euphrase Kezilahabi

SHUKURANI Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa taasisi na watu mbalimbali waliotoa ushauri na michango yao ya hali na mali iliyowezesha kukamilisha kazi hii. Awali ya yote, napenda kutoa shukurani zangu za dhati kumshukuru Mwenyezi-Mungu (sw) kwa kunijaalia afya njema katika kipindi chote cha masomo yangu. Afya ambayo iliniwezesha kuikamilisha tasnifu hii kwa muda mwafaka. Kwanza, namshukuru msimamizi wangu, Dkt. Athumani S. Ponera, ambaye licha ya majukumu mengi mengine yali...

Usawiri Wa Ufungwa Katika Riwaya Za Kiswahili: Mifano Kutoka Katika Riwaya Za Umleavyo Na Haini

SHUKURANI Shukurani zangu ninawapa wafuatao nikiwataja kwa makundi: Kwanza, Mwenyezi Mungu Mtukufu, kwa kunijaalia afya njema, maarifa, busara na hekima ambavyo nilivitumia kama nyenzo kubwa tangu kuanza hadi kumalizika kwa utafiti huu. Pili, kwa mama na baba yangu, kwa malezi yao bora waliyonipatia. Pia mume wangu, Bw. Salum Mohamed Gumukah, na watoto wetu kwa ushirikiano mkubwa waliouonesha katika kuhakikisha kazi hii inafanikiwa. Salum, uwe mume wangu milele! Tatu, ninatoa shukuran...

Usemezano Katika Riwaya Ya Kiswahili

SHUKRANI Shukrani jazila nazitakadamisha kwa Mwenyezi Mungu Raufu, imetimia tasnifu! Yeye ndiye wa kushukuriwa zaidi, amenipitisha salama katika tesi za ulimwengu katika kipindi chote cha masomo ya darasani na wakati wa uandishi wa tasnifu hii. Ama kwa hakika kidole kimoja hakivunji chawa, wala figa moja haliinjiki chungu, na mkono mmoja hauchinji ng‟ombe, walipata kusema wahenga. Kamwe siwezi kujidai kuwa yote nilofanya ili kazi hii itimie nimeyafanya kwa urazini ama ujanja wangu tu...

Huzuni Katika Nyimbo Za Taarab Za Waimbaji Bi Fatma Issa Na Shakila Said

SHUKURANI Kwanza kabisa, napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kunijaalia uzima na afya njema katika kipindi chote cha kukamilisha utafiti huu. Pili, ninamshukuru msimamizi wa utafiti huu, Dkt Muhammed Seif Khatib ambaye alikuwa mwongozaji wa kazi hii na alifanya juhudi kubwa kuhakikisha kuwa utafiti huu unamalizika katika hali ya ubora zaidi. Mwenyezi Mungu amlipe ujira mwema, Amina. Aidha, nawashukuru walimu wangu wote walionifundisha kozi za Fasihi ya Kiswahili amb...

Mdhihiriko Wa Mwendo Katika Ushairi Wa Kiswahili: Mifano Kutoka Katika Diwani Za Wasakatonge Na Kimbunga

SHUKURANI Kwanza ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia uzima wa afya katika kipindi chote cha masomo yangu hadi kuikamilisha tasinifu hii katika muda uliopangwa. Pia ninawashukuru wale wote walioshirikiana na mimi mwanzo hadi mwisho wa tasinifu hii. Kwa uchache ninapenda kuwapa shukurani zangu za dhati kwa kuwataja hawa wafuatao; Kwanza, ninapenda kumshukuru msimamizi wangu, Dkt. Zuhura A. Badru, ambaye alijikubalisha kuniongoza licha ya majukumu mengi ya kiofisi na kifamilia ...

Falsafa Ya Kiafrika Katika Vitabu Teulevyafasihi Ya Kiswahili: Dunia Uwanja Wa Fujo Na Ngoma Ya Ng’wanamalundi

SHUKURANI Kwanza, namshukuru sana Mungu kwa ajili ya ukuu na uweza wake ambao nimeuona katika kipindi chote cha maisha yangu; hususani katika kipindi cha kuandika tasnifu hii, ambapo nimekutana na changamoto nyingi, lakini kwa upendo wa Mungu niliweza kusonga mbele. Pili, kwa namna ya pekee namshukuru sana msimamizi wangu, Prof. J.S. Madumulla. Ameniongoza vizuri na kuniimarisha sana katika uandishi wa tasnifu. Ustahimilivu, mwongozo na upendo aliouonyesha kwangu ni mkubwa. Namwomb...

Feminist Insiders-Outsiders: Muslim Women in Nigeria and the Contemporary Feminist Movement

PREFACE This book focuses on the feminist roles and place of Muslim women in Islamic organizations in Nigeria. It is strongly felt that the time has come to produce a systematic work on the activeness of Muslim women in Islamic organizations in the country and their feminist aspirations since a single book on the subject is difficult to come by. It examines the brand of feminism of these women, who are playing leading roles in religious, administrative, educational, economic and poli...

Ethical Oversight of Multinational Collaborative Research: Lessons from Africa for Building Capacity And for Policy

ABSTRACTResearchers and others involved in the research enterprise from 12 African countries met with those working in ethics and oversight in the United States as part of an effort to develop research ethics capacity. Drawing on a wealth of experience among participants, discussions at the meeting revealed five categories of issues that, warrant careful attention by those engaged in similar efforts as well as international policy makers and those charged with oversight of research.(1) ...

Matumizi Ya Tasfida Za Kujamiiana Na Usawiri Wa Jinsia Katika Kipindi Cha Connect Cha Runinga Ya K24, Kenya

Sexuality in the African society is a serious and an embarrassing issue and it is not supposed to be discussed in the open. It is a taboo to utter taboed words or the act of sex. Euphemisms play a great role in the way people view issues and the way they construct reality in their mind. They help to reduce the impact of the taboed words that we use. Euphemisms are mostly used and are of different types. Connect is a program that uses different types of euphemisms, but...

Diagnosis And Treatment Of Àmódi In Ifá Divination Among The Yoruba Of South Western Nigeria

ABSTRACT Diagnosis in Ifá therapeutic practice makes a distinction between àìsàn ara(physical disease) - conditions that are diagnosable and treatable, and àmódi (somatoform disorders) - conditions that are not diagnosable and treatable using Western medicine. Studies in Ifá therapeutic practice have placed emphasis on àìsàn ara, while the diagnosis and treatment of àmódi have not been adequately addressed. This study, therefore, examines how àmódi is diagnosed and tre...


1 - 15 Of 148 Results