African Studies Research Papers/Topics

Narrating Selves: Alterity And Simultaneity In Lutanga Shaba’s Secret Of A Woman’s Soul, Peter Godwin’s Mukiwa: A White Boy In Africa, Nelson Mandela’s Long Walk To Freedom And Barack Obama’s

ABSTRACT This study is an analysis of auto-biographical narratives reinterpreted as auto-heterobiography to open space to an exploration and interrogation of alterity. Analysis of these narratives operated via postmodernist, postcolonial and philosophical discourses.The problem of narrating traumatized, political and hybrid or cosmopolitan selves was sited as resident in the primordial polytropos of the human experience which exposes narratives as aporetic and incomplete once postured as clos...

Taswira Katika Ngano Za Kiswahili Kutoka Wilaya Ya Kusini Unguja-Zanzibar

SHUKRANI Shukrani za awali ziende kwa Mwenyezi Mungu, muumba wa viumbe vyote, kwa kunisaidia kwa uwezo wake mkubwa kunilinda na kunipa afya katika kipindi chote cha kufanya utafiti huu mpaka ukakamilika. Shukrani nyingine ni kwa msimamizi wangu wa utafiti huu Dkt. Muhammed Seif Khatib kwa kuniongoza, kunishauri na kunipa changamoto mbalimbali za kutafuta taarifa zaidi na zaidi. Mungu mzidishie baraka na kumlinda na mabaya yote ya dunia. Wahadhiri wangu wote kwa kuwa nao pamoja tangu mwanzo w...

Wahusika Wa Kimimi Katika Riwaya Ya Kiswahili: Mifano Kutoka Dunia Yao Na Nyuso Za Mwanamke

SHUKRANI Kwanza kabisa, kabla sijasema neno lolote, napenda nitoe shukrani zangu zisizo na ukomo kwa Mwenyezi Mungu, kwa sababu, Yeye, ndiye Mkuu; na anayepaswa kushukuriwa kwa hatua yoyote ya maisha ya mwanadamu. Ninamshukuru kwa kunijaalia afya njema, kunipa nguvu, uwezo, akili, busara na maarifakatika kipindi chote cha masomo yangu ya uzamili. Nasema kwa unyenyekevu, Mungu ndiye muweza wa kila kitu.

Utanzia Katika Kasida Za Kiswahili: Mifano Kutoka Mkoa Wa Mjini Magharibi Unguja

SHUKRANI Kwanza kabisa shukurani za dhati anastahiki Mwenyezi Mungu Mtukufu ambaye ameniwezesha kufanya kazi hii kwa afya njema na nguvu nyingi. Pili, namshukuru kwa dhati mwalimu na msimamizi wangu wa utafiti huu Dkt Elias Manandi Songoyi aliyekubali au aliyejitolea kuwa mlezi na msimamizi wa kazi hii akielewa shida mbalimbali za mwanafunzi/mtoto wake kwa kunielekeza, kuniongoza, kunikosoa na kunishauri hadi kukamilika vyema tasnifu hii. Shukurani nyingine ziwaendee walimu wangu walionisome...

Uzingatizi Wa Viakifishi Katika Uandishi Wa Kitaaluma: Mifano Kutoka Shule Za Msingi Tanzania

SHUKURANI Awali ya yote, ninamshukuru Mungu wangu mwenyezi kwa kunipa nguvu na kuniwezesha kukamilisha tasnifu hii. Hakika, Mungu ni mwema sana maishani mwangu. Pili, ninawashukuru wasimamizi na walimu wangu, Dkt. Rafiki Y. Sebonde na Prof. John G. Kiango, kwa mwongozo, jitihada na ushauri wao makini vilivyoniwezesha kukamilisha tasnifu hii. Hakuna awezaye kuwalipa ila Mungu pekee. Tatu, ninamshukuru sana mwalimu wangu, Prof. Hermas J.M. Mwansoko, kwa kunijengea msingi imara katika stadi za ...

Tofauti Za Mtindo Katika Riwaya Ya Upelelezi Ya Kiswahili: Ulinganisho Wa Mohamed Said Abdulla Na Erick James Shigongo

SHUKRANI Kwanza kabisa ninatoa shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu ambaye amenijalia uhai, afya ya roho na mwili na ufahamu wa kuniwezesha kufanya kazi hii. Kuna michango na miongozo ya watu mbalimbali walioniwezesha kukamilisha tasnifu hii. Ninawashukuru wote walionisaidia mpaka kufikia hapa. Ningependa niwataje wote, lakini nitawataja baadhi tu ambao michango na miongozo yao imejitokeza zaidi. Dokta Elias M. Songoyi anastahili kupewa kipaumbele miongoni mwa watu walioniwezesha kufan...

Dhima Ya Nyimbo Za Bongo Fleva Zihusuzo Rushwa Katika Kuleta Mabadiliko Kwa Jamii

SHUKRANI Nianze kwa kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na utukufu aliyenipa nguvu, uhai, afya na uvumilivu hata nikaweza kuifanya kazi hii kwa kiwango kinachostahili. Pili, nimshukuru kwa nafasi ya pekee Profesa. Frowin Paul Nyoni, huyu ndiye msimamizi wangu wa utafiti huu. Natambua majukumu mengi na mazito ya kikazi na ya kifamilia aliyonayo lakini alichukua na alitumia muda wake mwingi pia katika kuisoma na kutoa mchango wake ili kuleta ufanisi wa kazi hii, tangia tulipoianza katik...

Taswira Katika Ushairi Wa Mwinyihatibu: Kutoka Malenga Wa Mrima Na Malenga Wa Mrima Nimerudi

SHUKRANI Kwanza kabisa, napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia nguvu, uzima, afya njema na kuniwezesha kuifikisha kazi hii katika hatua hii. Pili, shukrani zangu za pekee zimwendee msimamizi wangu, Dkt. Muhammed Seif Khatib, ambaye amekuwa nami bega kwa bega katika kunishauri, kunikosoa, kutoa mwongozo na mapendekezo ili kuhakikisha kazi hii inafanyika na kukamilika. Asante sana na Mungu akubariki. Aidha, nawashukuru wahadhiri wangu Dkt. Athuman Ponera, Dkt. Rafiki Sebonde na Dkt. ...

An Investigation Into The Phonological And Morphological Integration Of German Loanwords Into Oshiwambo

Abstract Oshiwambo, a Bantu language spoken in Northern Namibia and Southern Angola, like other languages in contact, has adapted foreign words from other languages to meet the needs of its daily life vocabularies and activities. This thesis is based on the hypothesis that words borrowed from other languages, especially European languages, into Oshiwambo, are phonologically and morphologically modified to fit the Oshiwambo speech system. The data were collected from school textbooks, daily c...

Falsafa Ya Riwaya Za Shaaban Robert Na Euphrase Kezilahabi Katika Muktadha Wa Epistemolojia Ya Kibantu

Abstract This Thesis entitled ―Philosophy in the Novels written by Shaaban Robert and Euphrase Kezilahabi in the Context of Bantu Epistemology‖ investigates the existence of Bantu Epistemolgy in the novels of the aforementioned literary writers basing on the following components: witchcraft, rituals, belief on soul and death, the heart, God, ‗event, space and time,‘ birth, naming, traditional healing and land. Data were collected through interviews, focus group discussions, the revie...

The Justice For All Programme, Its Impact On Ghana’s Prisons System: A Case Study Of Remand Prisoners At The Nsawam Medium Security Prison

ABSTRACT This study broadly investigates the impact of the “Justice for All Programme” on Ghana’s prison system. Specifically, the study seeks to outline the causes of delay in access to Justice by remand prisoners, identifies the effect of the delay in access to Justice by remand Prisoners on the Prison Administration, examines the effect of delay in access to Justice by remand Prisoners, and assesses the effect of the “Justice for All Programme” on access to justice by remand Pri...

Gender Role Stereotypes In African Children’s Literature

ABSTRACT This study looks at the gender role stereotypes in African children‘s literature. It is conducted through a content analysis of the written works of several African writers of children‘s literature in addition to selected oral children‘s literature such as lullabies and folk tales. Looking at oral and written literature enables a better examination of gender stereotypes in children‘s literature as a whole, instead of looking only at written literature which past studies on t...

A Critique Of The Political Philosophy Of Fela Anikulapo-Kuti

ABSTRACT I have argued that since Plato, the main task of political philosophy is to prescribe how the ideal state ought to be attained. Several postcolonial thinkers, activists and theoreticians, notably, Fela Anikulapo-Kuti attempted a prescription of the ideal state suitable for Africa. Thus Fela’s political philosophy could be summed up as follows: the realisation of Africa’s cultural independence, the unification of continental Africa under democratic governance and Africa’s retur...

Sex Taboos As Regulatory Measure Against Sexual Immorality Among The Igbo People Of Anambra State

ABSTRACT Notable research works have been conducted on sexuality and taboos in Igbo land. However not much work has been done on how sex taboos and their breach have become a norm or cultural model for the regulation and prevention of all forms of bad sexual behaviours and sexually transmitted diseases. This research, therefore, explored sex taboos in Igboland and the consequences of breaching them, with a view to determining how these sex taboos serve as a means of controlling sexual immoral...

Yorùbá Traditional Religious Wood-Carvings

ABSTRACT The Yorùbá -Yorùbá N O - - Yorùbá traditional religion and its attendant practice of wood-carving. Existing studies on Yorùbá wood-carving have concen -Yorùbá existed independently for a long time. This study, therefore, identified extant Yorùbá examined areas of divergence in the artistic production of the people. - wood-carvers, priests and adherents of some Yorùbá traditional religion who use wooden paraphernalia in their worship. Direct observation was used to colle...


31 - 45 Of 151 Results