SHUKRANI
Namshukuru Mungu muumba wangu kwa maisha niliyonayo pamoja na afya njema aliyonipa
katika kipindi nilichokuwa nafanya utafiti wangu na shughuli zote za kukamilisha utafiti huu.
Pia namshukuru Bi Mutenyo Aidah, mhadhiri katika idara ya lugha kwa kujitolea mhanga
kunisimamia na kunisaidia vilevile. Umekuwa mzazi kwangu Mimgu akubariki sana.
Ningependa pia kuwashukuru wahadhiri wengine katika idara ya lugha wakiwemo; Bwana
Wilson Onyeit, Bi Azabo na Bwana Atukunda Edwin.
Siwezi kutowashukuru wazazi wangu Bwana Marko john na Bi Jackline Marko kwa kunizaa
na kunilea, shangazi yangu Bi Matilda john kwa kunikuza, kunitunza, kunilipia karo kuanzia
masomo yangu ya sekondari paka hapa nilipo.umekuwa msaada mkubwa kwangu kwani
umenilea nakunipenda kama mwanao kuanzia utotoni mwangu paka katika ukubwa wangu,
umekuwa rafiki mkubwa kwangu nazaidi ya shangazi sina budi kukuita mama kwani
matendo yako nakujitoa kwako kumedhihirisha mengi kwangu, pesa ulizonipatia pamoja na
msaada wakati nilipokuwa nafanya utafiti huu nashukuru.
Pia nawashukuru rafiki zangu kama Upendo William. Bwema Kenneth, Ojambo Justine na
lukeeyo David.
Iv
FAHARASA
UNGAMO . j
IDHINI ii
TABARUKU iii
SHUKRANI iv
FAHARASA v
YALTYOMO vii
IKSIRI viii
SURA YA KWANZA 1
1.1 Usuliwamada 2
1.2 Swala la utafiti 4
1.3 Madhumuni ya utafiti 4
1.4 Malengo mahususi ni; 4
1.5 Umuhimu wa utafiti 5
1.6 upeo wa utafiti 5
1.6.1 Upeo wakiufundi 5
1.6.2 Upeo wa kijografia 5
1.6.3 Upeo wa kiwakati 5
1.7 Shida zilizornkumba mtafiti 5
SURAYAPILI 7
MAPITIO YA MAANDISHI 7
2.0 Utangulizi 7
2.1 Maandishi kt.thusu mila na usasa 7
2.2.1 Maandishi kuhusu jamii ya Wachaga 8
2.4 Maandishi kuhusu mada 10
2.5 Hitimisho 13
SURAYATATU 14
MBTNU ZA UTAFITI 14
3.0 Utangulizi 14
3.1 Utaratibu wa utafiti 14
3.2 Uteuzi wa sampuli 14
V
3.3 Mbinu za kukusanya data .14
3.4Hojaji 14
3.SMahojiano 15
3.6 Uchunguzi shirikishi 15
3.7 Uteuzi wavifaa 15
3.8 Uchanganuzi wa data 15
SURAYANNE 16
UWASILISEIAJI NA UCHANGANUZI WA DATA 16
4.0 Utangulizi 16
4.1 Uwasilishaji na uchanganuzi wa data 16
4.2 Tathmini ya hojaji na mahojiano 16
4:6 Je majina na methali za kichaga husawili hali ya mvutano baina ya mila za zamani na
usasa9 20
4.3 Majadiliano ya matokeo 20
4.3.1 Lengolakwanza 20
4.3.2 Lengo la pili 22
4.3.3 Lengo latatu 23
SURA YA TANO 26
MUHTASARI, HITIMISHO NA MAPENDEKEZO 26
5.0 Utangulizi 26
5.1 Muhtasari 26
5.2Hitimisho 27
5.3 Mapendekezo 28
MAREJELEO 30
VIAMBATANISHO 32
Research, S. (2022). Uchunguzi Li]Nganishi Wa Mvutano Kati Ya Ukale Na Usasa Wa Kitamaduni Uliopo Katika Tamthilia Ya Kwenye Ukingo Wa Tiiim Na Ule Wa Jamii Ya Wachaga Mkoani Mosifi. Afribary. Retrieved from https://afribary.com/works/uchunguzi-li-nganishi-wa-mvutano-kati-ya-ukale-na-usasa-wa-kitamaduni-uliopo-katika-tamthilia-ya-kwenye-ukingo-wa-tiiim-na-ule-wa-jamii-ya-wachaga-mkoani-mosifi
Research, SSA "Uchunguzi Li]Nganishi Wa Mvutano Kati Ya Ukale Na Usasa Wa Kitamaduni Uliopo Katika Tamthilia Ya Kwenye Ukingo Wa Tiiim Na Ule Wa Jamii Ya Wachaga Mkoani Mosifi" Afribary. Afribary, 21 Aug. 2022, https://afribary.com/works/uchunguzi-li-nganishi-wa-mvutano-kati-ya-ukale-na-usasa-wa-kitamaduni-uliopo-katika-tamthilia-ya-kwenye-ukingo-wa-tiiim-na-ule-wa-jamii-ya-wachaga-mkoani-mosifi. Accessed 22 Dec. 2024.
Research, SSA . "Uchunguzi Li]Nganishi Wa Mvutano Kati Ya Ukale Na Usasa Wa Kitamaduni Uliopo Katika Tamthilia Ya Kwenye Ukingo Wa Tiiim Na Ule Wa Jamii Ya Wachaga Mkoani Mosifi". Afribary, Afribary, 21 Aug. 2022. Web. 22 Dec. 2024. < https://afribary.com/works/uchunguzi-li-nganishi-wa-mvutano-kati-ya-ukale-na-usasa-wa-kitamaduni-uliopo-katika-tamthilia-ya-kwenye-ukingo-wa-tiiim-na-ule-wa-jamii-ya-wachaga-mkoani-mosifi >.
Research, SSA . "Uchunguzi Li]Nganishi Wa Mvutano Kati Ya Ukale Na Usasa Wa Kitamaduni Uliopo Katika Tamthilia Ya Kwenye Ukingo Wa Tiiim Na Ule Wa Jamii Ya Wachaga Mkoani Mosifi" Afribary (2022). Accessed December 22, 2024. https://afribary.com/works/uchunguzi-li-nganishi-wa-mvutano-kati-ya-ukale-na-usasa-wa-kitamaduni-uliopo-katika-tamthilia-ya-kwenye-ukingo-wa-tiiim-na-ule-wa-jamii-ya-wachaga-mkoani-mosifi